kishindo Bundesliga baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United kufunga bao na kutoa pasi katika ushindi wa 3-1 wa Borussia Dortmund dhidi ya Freburg leo
akicheza mechi ya pili tangu arudi
'nyumbani'.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Japan alimsetia Adrian Ramos kufunga bao la kwanza dakika ya 34, kabla ya yeye mwenyewe la pili kana ya mapumziko.
Kagawa alipata mapokezi mazuri akirejea Wesfalenstadion, ambako mashabiki walibeba
mabango na bendera zenye picha yake na kumshangilia ile mbaya wakiimba jina lake.
Aliondoka Dortmund kuhamia United mwaka 2012, lakini akashindwa kung'ara na kuwashawishi makocha wa timu hiyo kumpa nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza
Old Traffford baada ya kusajiliwa kwa Pauni Milioni 12.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25
msimu ameuzwa na kocha Louis van Gaal kwa dau la hasara la Pauni Milioni 6.3 akiungana tena na kocha Jurgen Klopp, ambaye alisema alitamani kumwaga machozi namna mchezaji huyo alivyokuwa anagfanyiwa United.
Dortmund tayari imeuaza jezi 5,000 za
Chapisha Maoni