wachezaji wake wa Arsenal kwa kushindwa kucheza vizuri wakichapwa mabao 2-0 na Dortmund jana, huku akirejea na kiungo Jack Wilshere akiwa majeruhi baada ya kuumia kwenye mchezo huo.
Wilshere alitonesha enka yake ya mguu wa kulia kikosi cha Wenger kikilala 2-0 katika mchezo wa kwanza wa makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Wlishere ameumia sehemu lie lie ambayo ilimfanya akawa nje ya Uwanja kwa miezi 17. "Ni vigumu kusema ni mbaya kiasi gani,"amesema kocha wa Arsenal. "Kwa kawaida haitakuwa mbaya sana, lakini nina
wasiwasi mno kulingana na historia yake,".
Chapisha Maoni