0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk.
Shaaban Mwinjaka ( wa tatu kutoka kulia
mstari wa kwanza) akiwa katika picha ya
pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa
Uholanzi, wawakilishi kutoka bandari ya
Rotterdam ya uholanzi pamoja na
wawakilishi kutoka kampuni ya BAM ya
uholanzi aliokutana leo mchana ofisini
kwake kujadiliana kuhusu kuwekeza katika
bandari ya Mtwara kwa mkopo wa bei
nafuu. Kulia kwa Dk. Mwinjaka ni Balozi
wa Uholanzi Nchini, Mr. Jaap FREDERICKS.
(Picha na kitengo cha mawasiliano
Serikalini-Uchukuzi)

Chapisha Maoni

 
Top