Mh. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini amwagana na Mke wake.. 05:55 Unknown 0 MAPENZI A+ A- Print Email Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazikipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ... Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Suguambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema.
Chapisha Maoni