shule aliyosoma.
Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la
kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa- inspire wafanikiwe kama yeye.
Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj sio mtu sahihi wa kuwa-inspire wanafunzi wake
kwa kuzingatia video tata ya ‘Anaconda’ aliyoitoa hivi karibuni.
Hizi ni baadhi ya tweets za Nicki akionesha masikitiko yake baada ya kunyimwa nafasi hiyo.
Chapisha Maoni