Mshambuliaji wa West Ham United, Enner Valencia akifumua shuti la umbali wa mita 20 kuifungia timu yake bao katika sare ya 2-2 na Hull City jana mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la West Ham lilifungwa
na Diafra sakho, wakati mabao ya Hull
yalifungwa na Abel Hernandez na Mo Diame.
Chapisha Maoni