Kipigo cha kiama cha mabao kimeikuta azam hii leo katika uwanja wa taifa
Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Balo lingine lilifungwa na Simon Msuva.
Chapisha Maoni