kuwa wa kwanza kujisalimisha kwake
kutokana na matatizo makubwa
aliyokuwa nayo.
Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nabii
Jerry wa kanisa la Holly Ghost Fire lilipo
Mbezi Juu kwa Temba Jijini Dar ametoa
mpya baada ya kuwatangazia kiama
waganga wote wanaotumika kwa
ushirikina pamoja na wachawi
kujisalimisha kanisani kwake mara moja
kabla moto wake haujatua kwenye
vichwa vyao.
Akiongea na waandishi wa habari
mbalimbali Kanisani kwake mwishoni
mwa juma Nabii huyo alisema kuwa
katika maono yake amegundua jinsi gani
waganga wa kienyeji baadhi na wachawi
jinsi wanavyoaathiri maisha ya wakazi
wa Jiji.
Nabii Jerry aliongeza kusema" Natamka
hadharani mbele ya vyombo vya habari
juu ya hawa waganga wakienyeji na
wachawi nawatangazia vita juu yao na
natoa siku 14 wawe wamejisalimisha
mahara hapa kwa ajili kuchoma hizo
tungur zao na endapo watakiuka maagizo
haya basi moto wa injiili utawafanya
vibaya na kuumbuka kwenye jamii"
Alisema Nabii Jerry
Mtumishi huyo wa Mungu amekuwa na
kalama ya kipekee huku maelfu ya
wananchi wakimiminika kanisani kwake
kwa ajili ya kupata msaada wa haraka, na
amekuwa kati na manabii tofauti kwenye
kutoa huduma ya maombi nchini kwani
yeyey humuombe mtu na kuponywa
ugonjwa wake papo hapo na sio
longolongo.
Aidha nae Mtumishi huyo hakusita kutoa
uwito kwa wakazi wote wa Jiji la Dar
kuendelea kumiminika kwenye Huduma
yake kwa ajili ya kazi moja tu ya Uponyaji
na maombi maalum na hii ndiyo namba
yake ya huduma kwa maombi
+225713-976786 Na ratiba zinaanza kila
siku za Jumatano, Alhamisi, Ijumaa,
Jumamosi, ni saa kumi jino na Jumapili
ibada inaanza saa tatu asubuhi hasi saa
saba mchana.
Na tayari maamia ya watu wamefungulia
maradhi yao hadi sasa wako huru kila
hitaji kwake linafanikiwa kwa kipindi
kifupi na huo ndiyo moto
unavyofanyakazi kwa Mchungaji huyo.
Chapisha Maoni