Mabao ya timu ya kocha Pep Guardiola
yamefungwa na Robert Lewandowski dakika ya sita na 38 na Arjen Robben dakika ya 13 na 79.
Kikosi cha Bayern Munich kilikuwa: Neuer, Benatia, Dante, Alaba, Rafinha, Lahm/Rode dk75, Alonso/Gaudino dk82, Bernat, Robben, Lewandowski na Shaqiri/Pizarro dk60.
Hannover 96: Zieler, Sakai, Guedes Filho,
Trevizan Martins, Schulz , Albornoz/Pander dk45, Schmiedebach, Gülselam, Kiyotake/ Schlaudraff dk72, Sobiech na Mato Sanmartin/Bittencourt dk45.
Chapisha Maoni