hiyo ya Bundesligakumfuta kazi Jens Keller kufuatia mwanzo maimu huu.
Mwanasoka huyo wa zamani wa kimataifa wa Italia, ambaye aliiwezesha Chelsea kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa kocha mwaka 2012, amekuwa hana timu tangu afukuzwe na klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England Novemba mwaka huo.
Di Matteo, ambaye alirithi mikoba Rafa
Benitez Stamford Bridge, aliendelea kulipwa mshahara wake wa Pauni 130,000 kwa wiki The Blues hadi Juni mwaka 2014. Schalke itamenyana na Chelsea 25 katika Ligi ya
Mabingwa Ulaya.
Chapisha Maoni