Baada ya meneja wake kukamatwa jana jioni na wacheza shoo wake kukamatwa leo asubuhi, hatimaye Diamond naye amejisalimisha Kituo cha Polisi cha Oyster Bay...
Baada ya msanii huyo kujisalimisha, alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha akaachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ kituoni hapo.
Chapisha Maoni