******
Mwanajeshi wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita akimtuhumu kumsumbua mkewe
wakati wakiwa baa, Octavian Maurus Gowele amefikishwa mahakama ya wilaya Temeke leo akishtakiwa kwa mauaji.
Mwanajeshi huyo amekana shitaka hilo na kesi yake imeahirishwa mpaka Novemba 4, 2014.
Chapisha Maoni