na timu yake ya taifa, Hispania kuelekea
mechi za kufuzu Euro 2016 dhidi ya Slovakia na Luxembourg.
Mpachika mabao huyo wa Chelsea alikuwa pamoja na wachezaji wen sake wa Cesc Fabregas anayecheza naye The Blues, na wengine wanaochea Ligi Kuu ya England, David Silva na David de Gea.
Kikosi cha Vicente del Bosque kiliifumua
Macedonia mabao 5-1 katika mchezo wao wa ufunguzi wa kufuzu na sasa kinaelekeza nguvu zake kwa Slovakia na Luxembourg.
Chapisha Maoni