0
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene
Uwoya amesema kuwa hakuna vazi
asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a
kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa
akizungumza na magazine maarufu ya
burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo
kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta
kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi
kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya.
Hatari sana hii.

-bongomovies

Chapisha Maoni

 
Top