iliyoyafanya kwa Carlos Tevez miaka mitano iliyopita.
United imemsajili mshambuliaji huyo wa kati wa Colombia kwa mkopo kutoka Monaco katika siku ya mwisho ya kufunga pazia la usajili.
Ikiwa imetoa Pauni Milioni 6 kwa klabu ya Ufaransa kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28, United pia imekubali kulipa ada ya uhamisho wa jumla ya Pauni Milioni 43.5 iwapo wataamua kumchukua
moja kwa Falcao mwishoni mwa msimu.
Inafahamika Manchester United imekubali kumlipa mshahara wa Pauni 250,000 kwa wiki mchezaji huyo.
Chapisha Maoni