
kwa kupayta sare ya 1-1 Krasnodar usiku huu katika mchezo wa Kundi H.
blushes of his captain Phil Jagielka by
rescuing a 1-1 draw for Everton in Krasnodar on Thursday night.
Eto'o, ambaye ameshinda mataji ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Barcelona na Inter Milan, alifunga bao hilo dakika ya 82 na kumpa faraja kocha Roberto Martinez baada ya makosa ya Nahodha wao, Phil Jagielka kuipa bao la kuongoza Krasnodar kipindi cha
kwanza.
Chapisha Maoni