KIJANA mmoja (jina halikufahamika) anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata- Kimanga jijini Dar es Salaam akiwa nyumbani kwa
mtu.
Kijana huyo alichomwa moto na wananchi wenye hasira kali dhidi ya wahalifu wa aina hiyo.
Chapisha Maoni