amekamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na kondoo.
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la John Chege mwenye umri wa miaka 27, ambaye ni fundi wa kukarabati mabomba ya maji katika eneo hilo
amekiri kufanya kosa hilo japo amelalamika kuwa mama yake mzazi amehusika kumuandalia mtego
wa kumkamata akifanya kitendo hicho kwa lengo la kumuaibisha.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa watu
walioshuhudia kitendo hicho wamesema mtu huyo alitumia dawa za kulevya kabla ya kufanya kitendo
hicho.
Kamanda wa Polisi Moses Lekakeny amesema mtuhumiwa huyo atafanyiwa uchunguzi wa kina na upelelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.
Chapisha Maoni