kuhusu mkataba wa kusitisha mapigano
uliotangazwa kati ya jeshi la Nigeria na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
Msemaji wa rais nchini Nigeria amesema kuwa makubaliano hayo yalihusu kuachiliwa kwa zaidi ya wasichana 200 wa shule waliotekwa na Boko Haram miezi sita iliyopita.
Boko Haram Lakini hata hivyo Boko Haram hawajasema lolote
lakini mwandishi wa habari raia wa Nigeria anayeishi uhamishoni na anayehusishwa na Boko Haram anasema kuwa kundi hiloblimekasirishwa kutokana na kile alichokitaja kuwabnjama zabkisiasa.
Makubaliano hayo yaliafikiwa baada ya wiki kadha za mazungumzo yalioongozwa na Chad na mikutano zaidi inahitajika ili kuafikia jinsi
wasichana hao watakavyoachiliwa.
Chapisha Maoni