Rapper Rick Ross ambaye ndio mmiliki wa record lebel MMG amepunguza kilo zingine zaidi na sasa muonekano wake umabadilika sana. Mchakato wa kupunguza kilo na kuwa na afya bora ulianza mwaka moja nyuma
baada ya Rozay kupata matatizo ya kiafya na kupoteza fahamu akiwa kwenye ndege.
Chapisha Maoni