0
Dada huyu ameharibu ndoa yake
mwenyewe na kujikuta anajuta, zikiwa
zimebakia wiki mbili tu kufanya kufanya
harusi mpango ulivurugika baada
ya picha za uchi ya huyu dada kunaswa
akiwa getoni kwa jamaa akiwa
amejiachia uchi wa mnyama akicheki TV.
Tunaposisitiza kuwa michepuko haifai
watu wanatuchukulia kama wajinga,
wewe unajua kabisa ulikuwa na
mwanaume fulani na sasa umepata
mchumba kwanini usiende ukampigia
magoti na kumweleza ukweli akutunzie
siri kwa kuwa tayari umepata mchumba?
Haya ona sasa maji yashamwagika.

CHEKI PICHA HAPA CHINI AIBU HII
PICHA YA AIBU HII

Chapisha Maoni

 
Top