0
Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.
Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha
sherehe hiyo iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri. Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya
Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin Elinema wa Times Fm.

Chapisha Maoni

 
Top