binadamu anaodaiwa kufanya wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007/08 Rais Kenyatta alitakiwa kufika kufika mbele ya mahakama hiyo ya ICC ili majaji waweze kuamua
ikiwa kesi hiyo itaendelea kusikilizwa au
itasitishwa.
Na pia kumuarifu Kenyatta kuhusu malalamiko kutoka kwa viongozi wa mashitaka wa mahakama
hiyo kwamba serikali yake imekataa kuwasilisha ushahidi unaotakikana na mahakama hiyo katika
kesi inayomkabili Kenyatta.
Upande wa mashitaka unataka kesi hiyo
kuahirishwa hadi serikali ya Kenya
itakapowasilisha ushahidi huo.
Nao upande wa utetezi wa Kenyatta unasema Rais huyo hapaswi kufikishwa mbele ya mahakama hiyo
kwa sababu upande wa mashitaka umekosa kuthibitisha kesi yake.
Chapisha Maoni