0
Haikupita ‘taimu’ kwani mzazi huyo
alipotelewa na uungwana pale
alipojikuta akisimama na kuanza
kuserebuka sambamba na mwanaye.
Kadri mapigo ya Vijana wa Masauti
yalivyozidi kuchanganya, ndivyo midadi
ya ‘mtu mzima’ ilivyozidi kupanda na
kuanza kukata kiuno isivyo kawaida
huku akichojoa kiwalo kimoja baada ya
kingine.
...mzuka wangu ukinipanda......
x none; font-style: inherit; font-variant:
inherit; font-weight: inherit; line-height:
17.472px; margin: 0px; padding: 0px;
vertical-align: baseline;">Mzuka
ulipokolea barabara, mama alijikuta
akivua miwani yake ‘tintedi’ kwani
ilikuwa ikimnyima raha kwa kutoona
vizuri kwenye giza. Baada ya miwani vilifuatia viatu, blauzi
na kubakiza sidiria, huku chini akishusha
‘skini jinsi’ yake na kusababisha bikini na viungo nyeti kuwa nje nje mbele ya
mwanaye aliyekuwa akiangalia pembeni
kwa aibu kuu.Mizuka ya mama huyo ilishindwa
kutulizwa mpaka wasamaria
walipoamrisha Vijana wa Masauti kuzima muziki ndipo mzazi huyo akatulia na kwenda kukaa huku watu wakimponda kwa kitendo chake cha kumwaga radhi
mbele ya mwanaye. Baadaye alitimkia
kusikojulikana huku mtoto akielekeza
njia tofauti na walipoingia kwani mama
ndiye aliyekuwa ‘dairekta’.

Chapisha Maoni

 
Top