Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana baad ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Cornella unaowapele Robo Fainali ya Kombe la Hispania. Mabao ya R iliyocheza bila nyota wake Ronaldo na Gareth B yalifungwa na Raphael Varane mawili, Javier Hernandez 'Chicharito' na Marcelo, wakati bao pekee la wenyeji lilifungwa na Oscar Munoz.REAL YAUA 4-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA MFALME
Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana baad ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Cornella unaowapele Robo Fainali ya Kombe la Hispania. Mabao ya R iliyocheza bila nyota wake Ronaldo na Gareth B yalifungwa na Raphael Varane mawili, Javier Hernandez 'Chicharito' na Marcelo, wakati bao pekee la wenyeji lilifungwa na Oscar Munoz.
Chapisha Maoni