Mwanadada Moza Kassim mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tawi la Singida, inadaiwa kuwa usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi iliyopita mkoani Singida, alijibizana na mpenzi wake ambaye eti
aligundua kuwa ana mpenzi mwingine na katika vuta ni kuvute
hawakufikia muafaka ndipo mwanadada
akamwambia mpenzi wake kuwa anajichoma kisu mwanaume akajua ni utani akamjibu huwezi, mwanadada akamwambia kwa mara ya pili kisha
Moza akajipiga kisu tumboni karibu na kiuno hali yake ikawa mbaya na kuanza kuchuruzika damu ikabidi rafiki zao waliokua karibu wakamkimbiza
hospitali ya mkoa, na jana alihamishwa hospitalini hapo na mwanadada huyo yupo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi, na kwa mujibu wa sheria Moza ana
kesi ya kujibu.
Chapisha Maoni