Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki
akizungumza na Balozi wa China nchini
Tanzania, Mhe. Lu Youqing alipofika
Wizarani tarehe 10 Novemba, 2014 kwa
mazungumzo. Katika mazungumzo yao
Mhe. Lu aliishukuru na kuipongeza Serikali ya Tanzania kwa msimamo wake kuhusu tuhuma dhidi yake na China kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na pia alisifu jitihada za Serikali ya Tanzania
katika kupambana na biashara hiyo na
kusema China inaunga mkono jitihada hizo na ipo bega kwa bega kuhakikisha
inatokomezwa kabisa.
Chapisha Maoni