Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambovya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza kwa niaba ya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) na Mjumbe Maalum wa Marekani kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Russel D.
Feingold alipofika Wizarani kwa ajili ya
mazungumzo. Katika mazungumzo yao
waligusia mchango wa Tanzania katika
suala la amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Joseph Sokoine akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Bw.
Innocent Shiyo wakifuatilia mazungumzo kati ya Naibu Katibu Mkuu na Bw. Russel (hawapo pichani).
Chapisha Maoni