
Nyota huyo wa Barcelona alifunga mabao mawili dhidi ya Ajax katika ushindi wa 2-0 na sasa anaongoza kwa pamoja na gwiji huyo wa Real Madrid kufunga mabao kwenye
michuano hiyo.
Messi, nyota wa vigogo wa Katalunya ili
kukamata rekodi hiyo iliyowekwa muongo uliopita, alifunga bao la kwanza kwa kichwa, kabla ya kuongeza la pili kipindi cha pili
Barcelona katika mchezo huo wa Kundi
F. Pamoja na kushinda, Barca inabaki nafasi ya pili kwa pointi zake tisa, nyuma ya PSG yenye pointi 10 baada ya kuifunga APOEL Nicosia 1-0.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.