akishangilia kuifungia timu yake katika ushindi 2-0 dhidi ya AS Roma mchezo wa Kundi E Ligi Mabingwa Ulaya usiku wa jana. Bao lingine lilifungwa na Mario Gotze na mabingwa hao wa Ujerumani wanatimiza pointi 12 sasa hivyo
kujihakikishia kuingia hatua ya mtoano.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.