0
Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema
waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye interview na jarida la V mina anasema...."Kama mwanaume angefanya nilichofanya kwenye Anaconda hakuna ambaye angekosoa, watu wanaacha kuongelea show zinazotukuza ngono kama victoria secret na show zingine
zinazoonyesha nguo za ndani ila wananiponda mimi naye fanya hiphop"

Chapisha Maoni

 
Top