imemtangaza David Moyes kuwa kocha wake mpya, licha ya Mscotland huyo kusema ni 'maajabu ya mwaka' klabu hiyo kumpa Mkataba wa miezi 18.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 51
anafikiri majukumu aliyochukua na
mazito mho katika timu hiyo ambayo haifanyi vizuri kwa sasa katika La Liga, wakati anahitaji kurejesha heshima yake baada ya kufukuzwa Manchester United Aprili mwaka huu.
Bahati mbaya, Phil Neville alikataa kuungana naye huko kama Kocha Msaidizi na sasa anatafuta mtu mwingine wa kufanya naye kazi
Hispania. Bado haijulikani sasa Moyes
atamchukua nani katika benchi lake la Ufundi.
Chapisha Maoni