0
Baada ya Sitti Mtemvu 2014 kujivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.

Sitti alikuwa anashutumiwa kwa kugushi vyeti na umri ili ashide u-miss ambapo ilizua mjadala mkubwa

Chapisha Maoni

 
Top