amekuwa shujaa baada ya kuseti mabao yote mawili, Barcelona ikishinda 2-1 dhidi ya Almeria ugenini katika La Liga.
Suarez alianza kumsetia Mbrazil, Neymarbkufunga bao la kwanza dakika ya 73 ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Thievy Bifouma kuifungia Almeria la kuongozabdakika ya 37, kabla ya kumpikia na Jordi Alba kufunga bao la ushindi dakika ya 82.
Muargentina Lionel Messi alipoteza nafasi ya kufunga bao la kusawazisha rekodi ya ufungaji wa mabao mengi La Liga.
Kikosi cha Almeria kilikuwa: Ruben; Ximo Navarro, Trujillo, Fran Velez, Dubarbier; Thomas, Verza, Soriano/Hemed dk68, Azeez; Jonathan na Thievy/Edgar dk76).
Barcelona: Bravo; Adriano, Batra,
Mascherano, Jordi Alba; Rakitic, Busquets/ Xavi dk67, Rafinha; Pedro/Suarez dk45, Messi na Munir/Neymar dk45.
Chapisha Maoni