0
Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, Toni Kroos bao lake alilofunga dakika ya tisa janaBkatika ushindi wa 5-1 dhidi ya Rayo Vallecano
kwenye La Liga Uwanja wa Bernabeu.

 Mabao mengine ya Real yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 40, Kroos dakika ya 56, Karim Benzema dakika ya 59 na Cristiano Ronaldo dakika ya 83, wakati na Rayo lilifungwa na Bueno dakika ya 44.

Chapisha Maoni

 
Top