0
Leroy Fer wa QPR kulia akipambana na
Bacary Sagna wa Manchester City katika
mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo. 

Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya City
waliokuwa wageni yakifungwa na
Sergio Agüero yote, wakati ya QPR
yamefungwa na Charlie Austin na Martin Demichelis aliyejfunga

Chapisha Maoni

 
Top