
‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’.
Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa ingawa wanazifahamu na hata kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia ni wale ambao hupenda
kufanya tendo kila siku wakiwa na wenza wao, hivyo wanaposafiri au kusigana kidogo, ndipo
wanapolazimika kuzitumia.
Mastaa waliozungumza kuhusu nyeti hizo, lakini wakikana kuwahi kutumia ni pamoja na Lulu Semagongo, Isabela Mpanda, Baby Madaha, Tamrina Poshi ‘Amanda’ na Vai wa Ukweli
ambaye alisema yeye anapojisikia karaha ya mapenzi, hupenda kunywa pombe, hata kama ni asubuhi.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.