Daryl Janmaat wa Newcastle akimchezea rafu Mario Balotelli wa Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa St James Park. Newcastle imeshinda 1-0, bao pekee la Ayoze Perez dakika ya 73.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni