
Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo aliifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya pili, kabla ya James Rodriguez kufunga la pili kipindi cha kwanza, Karim Benzema kufunga la tatu dakika ya 54 na James Rodriguez kukamilisha ushindi huo dakika za
mwishoni.
Ushindi huo, unaifanya Real ipae kileleni mwa La Liga kwa kufikisha pointi 24 baada ya kucheza mechi 10, lakini imecheza mechi moja zaidi dhidi ya Barca, wanaochuana nao
kwenye mbio za ubingwa.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.