England kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Burnley Uwanja wa Emirates, London.
Hadi mapumziko hakuna bao lililokuwa
limepatikana na iliwachukia hadi robo ya
mwisho ya mchezo, The Gunners kuanza kuhesabu mabao yao.
Alexis Sanchez alifunga bao la kwanza dakika ya 70, kabla ya Callum Chambers kuongeza la pili dakika ya 72 na Sanchez tena kuwainua vitini mashabiki wa Arsenal dakika ya 90.
Kikosi cha Arsenal kilikuwa; Szczesny,
Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs,
Arteta/Ramsey dk63, Flamini, Oxlade-
Chamberlain/Walcott dk80, Cazorla, Sanchez na Welbeck/Podolski dk80.
Burnley; Heaton, Trippier, Duff, Shackell,
Ward, Arfield 6, Jones, Marney/Chalobah
dk80, Boyd, Ings na Sordell/Jutkiewicz dk67.
Chapisha Maoni