Umoja wa misikiti ya Ilala unawaomba/
unawaalika kushiriki katika Dua maalum
ya kumuombea Mh. Rais Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete,ili aweze kupona maradhi yake, siku ya Alhamis tarehe 20/11/2014 saa mbili usiku ( baada ya swalatul isha'a).
Dua itafanyika masjid TAQWA Ilala-
Bungoni. Nyote mnakaribishwa.
Imetolewa na Sheikh Abdul Wakati-
Mwenyekiti wa umoja wa misikiti ILALA.
Rais Kikwete akiendelea na kazi ndogo
ndogo,wakati akiwa kwenye
matibabu,nchini Marekani.
Chapisha Maoni