0
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo usiku amemtambia mpinzani wake mkubwa, Lionel Messi walipokiytana kwa mara ya 27 Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester,
England.

Ronaldo ameiongoza Ureno kuilaza Argentina ya Messi ya 1-0, bao pekee la 90 katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa.
Wanasoka wote hao, Ronaldo wa Real Madrid na Messi wa Barcelona ya Hispania wanatarajia kushindana tena kwenye tuzo ya Mwanasoka
Bora wa Dunia mwaka huu.

Chapisha Maoni

 
Top