Maneno hayo yamesemwa na msanii mashuhuri sana wa Nigeria, Davido pale alipokutana na picha za wagombea umiss wa mwaka 2013 pindi alipotembelea Tanzania akiwa katika kazi zake za kimziki.
Msanii huyo alidai kuwa alikuwa anafikiria kuwa ni Nigeria ndiyo inayongoza kwa wanawake warembo
barani Afrika, lakini sasa hivi kagundua kumbe kuna eneo ambalo linastahili sifa hiyo ambalo ni Afrika ya Mashariki. Kweli kutembea kuona mengi!!!
Davido aliongezea kuwa wanawake mvutia zaidi ni Watanzania na wale wenye asili ya Kiutu na Kitusi wa Burundi na Rwanda.aliendelea kufungka zaid ka mpka wanamtamanisha kuoa huku...Alidai kuwa warembo wa maeneo hayo walivyo wazuri na wenye mvuto wa kimapenzi, utadhani kuwa hawaendi chooni ama hawakuzaliwa na
binadamu wa kawaida!!!!!
Jamaa kashikwa pabaya kweli kweli!!
Watu wengi sana walikubaliana na maneno ya msanii Davido kwa maana ni dhahiri kuwa, ukifanya utafiti kuanzia kule kusini mwa afrika mpaka kaskazini, magharibi mpaka mashariki, utajionea
Chapisha Maoni