Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon byuko eneo la Afrika magharibi kama sehemu ya ziara ya siku mbili ya kuzitembelea nchi zilizoathirika na ugonjwa wa ebola.
Kituo chake cha kwanza kilikuwa nchini Liberia ambapo aliosha mikono yake na kupimwa joto muda mfupa baada ya ndege kutua zikiwa hatua mbili muhimu za kuzui kusambaa kwa ugonjwa
huo.
Bwana Ban aliwashauri watu kufuata kwa makini kanuni za afya hadi ugonjwa huo uangamizwe. Katika nchini zilizoathiirika zaidi na ugonjwa huo
zikiwemo Guinea, Liberia and Sierra Leone njia za kitamaduni za kuzika maiti zimechangia kusambaa kwa ugonjwa huo.
Chapisha Maoni