0
RAIS Kikwete leo ameongoza sherehe za
kuadhimisha miaka 53 tangu Tanzania Bara ipate uhuru wake Desemba 9 1961.

 Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali nchini na
wawakilishi wa nchi za nje walioshuhudia burudani ya kwaya, gwaride, halaiki, ngoma za asili, sarakasi na michezo mingineyo kutoka
mikoa mbalimbali ya Tanzania

Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na makamu mwenyekiti wa ccm bara Philip Mangula

Chapisha Maoni

 
Top