watanzania wamechukizwa na kitendo cha msanii davido kupost maneno ya kuwachukiza katika account yake ya twitter ..........
Soma hapo chini tweet ya Davido Muda mfupi tu mara baada ya Idris Kutangazwa Mshindi wa BIG
Hii inaonyesha wazi kuwa Davido anawachukia sana watanzania na Tanzania kwa ujumla kutokana na Kugalagazwa na Msanii wa Muziki wa
Kizazi Kipya kutoka Tanzania Diamond Platnum katika Tuzo za Muziki za Channel O zilizofanyika huko huko Afrika Kusini
Tweet ya DOVIDO kupitia account ya twitter
Post ya DIAMOND PLATNUMZ kupitia account yake ya Istagram leo
Chapisha Maoni