MABINGWA watetezi, Manchester City wamefikia Chelsea kwa pointi kileleni mwa Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa mabao 3-0 jioni ya
leo dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Etihad.
Huku Sergio Aguero, Edin Dzeko na Stevan Jovetic wakiwa majeruhi, James Milner alianza katika nafasi ya kiungo na David Silva akafunga bao la kwanza akicheza mechi ya 200 kwa The
Blues dakika ya 49.
‘Mchawi huyo’ akaifungia City bao la pili
akimalizia krosi ya Alexsander Kolarov dakika ya 61, kabla ya Yaya Toure kufunga la tatu dakika ya 79 akimalizia pasi ya Milner.
City imeshinda mechi nane mfululizo Ligi Kuu England, lakini bao la nne lingewapika kileleni kwa wastani mzuri wa mabaio.
Manchester City; Hart, Zabaleta, Demichelis, Mangala, Kolarov, Toure, Fernandinho, Navas, Silva/Lampard dk68, Nasri/Sinclair dk88 na
Milner/Fernando dk80.
Crystal Palace; Speroni, Kelly, Hangeland, Dann, Ward, Jedinak, McArthur, Ledley/Bannan dk88,
Puncheon/Thomas dk83, Campbell/Zaha dk65 na Bolasie.

Chapisha Maoni