0
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014 Idris Sultan akishangilia wakati akilakiwa kwa furaha na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo. Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.Meneja Uhusiano wa Kampuni ya
MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi
(kati) akijadiliana jambo na Mshindi wa
Big Brother Africa 2014 Idris Sultan pamoja na aliekuwa mshiriki wa shindano hilo, Laveda, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

 
Top