0
Shambulio lililofanywa na Taliban



Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.

Wamesema shambulio hilo, lakujitoa mhanga lililenga basi lililokuwa limejaza wanajeshi mashariki mwa mji huo.
Wapiganaji wa Taliban wamedai kuhusika na shambulio hilo.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top