kusema ni kwamba maazimio yale
hayakuwa ya Zitto Kabwe, PAC, CAG au
PCCB. Yalikuwa ni maamuzi ya Bunge
zima.
Bunge la vyama vyote kikiwamo
chama cha Rais Kikwete yaani CCM. Sisi
kama Bunge tulitoa maazimio yale kwa
maridhiano, uzalendo na bila kutaka
kumuonea mtu yeyote. Suala hili sasa
naliacha kwa wananchi. Bunge limefanya kazi yake na Serikali ambayo ndiyo tulikuwa tunasubiri maamuzi yake
imeamua hivyo. Wananchi wataamua
wenyewe.
Chapisha Maoni